everything around the world

follow me on instagram and on twitter @moshyenbond ..and @twitter its @moshyhabibu

Search This Blog

Featured Posts

Thursday, January 29, 2015

Baadhi Ya Watoto wa kike warembo wa Marais Duniani





mtoto wa Rais Kagame
                                                          

                                                             Huyu Hapa  ni mtoto wa king mswati anaitwa Princess-             Sikhanyiso-Dlamini-Swaziland.














Monday, January 26, 2015

shakira na Jenifer lopez walipokuwa wajawazitoto na picha wakiwa na watoto wao angalia













SHAKIRA NA MWANAYE MILLAN ....ITS A BOY 
Zifuatazo ni picha za jenifer lopez 
















  jenifer Lopez  akiwa kwa mtaa na Watoto wake mapacha 2..wakike na wakiume.
awww so cuuuuuute walah..



Friday, January 9, 2015

Angalia Pozi alipendalo Kate na alivyokuwa anavaa zamani na sasa Tangu aingie familia ya kimalkia ya uingereza

Anajilikana kwa jina la kate middletone ambaye ni mke wa Prince William ambaye ni  mjukuu wa Malikia wa uingereza   Elizabeth  hizi ni baadhi ya picha ambazo zinaonyesha style   yake ya mazavi aliyokuwa akivaa hapo zamani kabla hajakuwa  kwenye familia hii ya kimalkia na huku kuna moja ya pozi ambalo hulipenda kuliweka saana kwenye baadhi ya picha zake,angalia hapa before and after then angalia na  aina ya Pozi ambalo muda mwingi hupenda kuliweka nasidhani kama yeye huwa anapanga au anakuwa inatokea tu..

Lakini yote kwa yote ni kwamba sikuhi anavaa saana nguoza kushonewa na kuzistail pia,kuliko zamani alivyokuwa anatupia tusuruali na top yaani still she is look so good.kwakweli picha hizi.






hizi ndio swaga ambazo alikuwa akitupia enzi zilee badoo hajawa rasmi mke wa princse william
and hizi picha zifuatazo hapa chini ndio baada ya kuwa ndani ya familia ya kiheshima  angalia hapa chizi ......











 

Sample text

Sample Text

Sample Text

 
Blogger Templates